Jimmy Armfield afariki dunia
Pamoja
na kuichezea mechi 569 Timu ya Blackpool enzi zake, pia alikuwa Nahodha wa
England mara 15 katika mechi 43 alizochezea Simba Watatu.
Baada
ya kuwa kocha wa timu za Leeds na Bolton, Armfield akahamia kwenye utangazaji
na kujivunia heshima kubwa akiwa mchambuzi wa BBC Radio 5 Live. Na Familia yake
imethibitisha kifo chake kilichotokea Trinity Hospice mapema asubuhi ya leo

No comments