DIAMONGI NA MENEJA WAKE Meneja wa label ya WCB, Sallam SK amefunguka kwa kuendelea kudai kwamba
kampuni yao haina tatizo na chombo chochote cha habari isipokuwa Ruge
Mutahaba ambaye ni Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi Clouds FM na
Clouds TV ndio mwenye tatizo na label hiyo.
Reviewed by GAMBA LIVE
on
February 08, 2018
Rating: 5
No comments